Safari Dodoma - Dar kwa treni kutumia saa 3 pekee
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema serikali inakusudia kuboresha usafirishaji kwa njia ya reli ikiwa ni pamoja na kuunganisha Mkoa wa Dodoma na Dar es salaam ambapo watu watatumia masaa 3 pekee kutoka mikoa hiyo.