Vijana 29 huambukizwa UKIMWI kila saa moja Vijana wakiwa katika Kongamano la Ukimwi. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linasema vijana 29 huambukizwa virusi vya ukimwi, VVU kila saa moja. Read more about Vijana 29 huambukizwa UKIMWI kila saa moja