Dimpoz anyoosha maelezo kuhusu Mubenga

Ommy Dimpoz ndani ya FNL

Msanii Ommy Dimpoz amekanusha tetesi za kuwa na ugomvi na aliyekuwa 'business partiner' ambaye pia alikuwa meneja wake maarufu kwa jina la Mubenga, baada ya kila mmoja kuchukua hamsini zake na kufanya yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS