Dkt. Shein asaini Sheria ya Gesi na Mafuta
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametia saini Muswada wa Sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia ya mwaka 2016, na kusisitiza wananchi kufaidika kupitia mkataba huo.