Jinsi ya kupiga kura EATV AWARDS
Kumpigia kura msanii unayempenda awe mshindi wa #EATVAwards tuma ujumbe mfupi (SMS) kwa kuandika code ya msanii kwenye kipengele husika na kuituma kwenda namba 15777 /+25574615777 (walio nje ya Tanzania) au katembelea tovuti yetu www.eatv.tv/awards.