MCT yazindua tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Kajubi Mukajanga - Katibu Mtendaji MCT Baraza la Habari Tanzania MCT jana limezindua rasmi mashindano ya umahiri wa uandishi wa habari kwa mwaka 2016 (EJAT 2016) kwa vipengele 19 kushindaniwa. Read more about MCT yazindua tuzo za umahiri wa uandishi wa habari