Sijamshirikisha Rayvanny kutafuta kiki - Q Boy
Msanii kutoka Wasafi Records Q Boy ambaye anatamba na wimbo wake wa Mugacherere aliomshirikisha Rayvanny pamoja na Shetta amekanusha tetesi za kuwa wimbo huo ungebuma kama wasanii hao wawili wasingeshirikishwa.