Mwana FA afunguka ushindiwa Bony Love Alichopost Mwana FA Msanii Mwana FA ambaye alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume kwenye EATV Awards, ametoa pongezi kwa tuzo hizo, kwa kitendo cha kutoa tuzo ya heshima kwa Dj Bonny Love. Read more about Mwana FA afunguka ushindiwa Bony Love