Rage aunga mkono mabadiliko ya Katiba Simba SC
Aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameibuka na kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya timu hiyo yaliyopitishwa na mkutano wake mkuu wa dharura siku ya jana Jumapili ya Desemba 11, 2016