Neymar Waendesha mashtaka nchini Uhispania wamemtaka mshambuliaji wa Barcelona Neymar kuhudumia kifungo cha miaka miwili jela kufuatia kuhusika kwake katika kesi ya ufisadi kuhusu uhamisho wake kutoka klabu ya Santos nchini Brazil mwaka 2013. Read more about Neymar