Tanzania yapiga hatua katika haki za binadamu

Makamu wa Rais, akizindua Jarida la Mahakama ya Afrika

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, amesema, Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika kulinda na kutetea haki za binadamu kwa kuzingatia maazimio mbalimbali ya ndani ya nchi na ya kimataifa ikiwemo haki ya kuishi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS