Wagonjwa 230 wafanyiwa upasuaji wa macho Dodoma Anthony Mavunde Zaidi ya wagonjwa 230 Mkoani Dodoma wamefanyiwa upasuaji wa Macho na kupatiwa miwani katika zoezi lililoendeshwa na Bilal Muslim Mission iliyopo mkoani Dodoma. Read more about Wagonjwa 230 wafanyiwa upasuaji wa macho Dodoma