Upimaji wa 'Vyombo'!

Mkaguzi wa magari, Kikosi cha Usalama Barabarani, Nuru Mvungi, akimpima dereva wa basi kabla ya kuanza safari yake wakati wa ukaguzi wa vilevi kwenye kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS