Nedy afichua sababu ya Dimpoz kumficha mpenzi wake
Msanii Nedy Music ambaye yupo chini ya label ya 'PKP' amefunguka na kuweka wazi sababu ambazo zinamfanya mwanamuziki Ommy Dimpoz na wasanii wengine Bongo kutowaweka wazi wapenzi wao kwenye mitandao ya jamii.
