CHADEMA yatoa kauli kutoweka kwa Ben Sanane
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba serikali kuwasaidia kupata ufumbuzi kuhusiana na kupotea kwa kada wa chama hicho Bwana Ben Sanane ambaye pia ni Msaidizi wa Mwenyekiti Taifa wa Chama hicho Mhe. Freeman Mbowe.
