Azam yasajili wengine wa kimataifa, yamtema Migi

Kocha wa Azam FC Zeben Hernandez akimkabidhi Jezi Beki wa kati wa Klabu hiyo Yakubu Mohammed aliyetokea nchini Ghana.

Uongozi wa klabu ya Azam FC leo umeingia mkataba na wachezaji wengine watatu: wawili wakimataifa na mmoja kutoka klabu ya Mbeya City.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS