Rais Magufuli awatunuku kamisheni maafisa JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama leo amewatunukia kamisheni maafisa wanafunzi wa kijeshi 194 katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam