Mchezaji Azam FC aomba kutolewa kwa mkopo Omary Wayne (Mwenye jezi nyeupe) Kiungo chipukizi wa Azam FC, Omar Wayne ameomba kutolewa kwa mkopo timu nyingine ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ili akapate uzoefu zaidi. Read more about Mchezaji Azam FC aomba kutolewa kwa mkopo