"Kifo changu shetani hatatangulia kujua" - Bahati Bukuku Baada ya kuzushiwa kifo, msanii wa nyimbo za injili Bahati Bukuku amesema Kifo chake shetani hatatangulia kujua ila Mungu. Read more about "Kifo changu shetani hatatangulia kujua" - Bahati Bukuku