Ajali barabara ya UDSM Mwananchi akisaidia kusukuma gari lililopata ajali barabara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) . Chanzo hakikujulikana kutokana na dereva kutokutwa eneo la ajali. Read more about Ajali barabara ya UDSM