Mwenyekiti UVCCM aachiwa huru, akamatwa tena
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo imemwachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha (UVCCM), Lengai ole Sabaya katika kesi ya kujifanya mtumishi wa umma idara ya usalama wa Taifa (TISS).
