Mgogoro unafukuta kuhusu matumizi ya tochi
Mgogoro unafukuta kuhusu matumizi ya tochi za kupimia mwendokasi wa madereva nchini Kenya, baada ya baadhi ya askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini humo kudaiwa kutumia vipima mwendo hivyo kama mtego wa kuomba na kujipatia rushwa.