Prof Jay ampa somo Darassa

Prof. Jay amemtaka rapa mwenzake anayetikisa hivi sasa Darassa, asiridhike na mafanikio aliyopata bali azidi kupambana zaidi kwani huu ni mwanzo wa mafanikio makubwa yaliyoko mbele.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS