Mikoa ya Kanda ya Ziwa hoi kwa huduma za uzazi
Tathmini ya afya iliyofanyika mwaka 2015 ya mpango wa matokeo makubwa sasa inaonesha mikoa ya kanda ya ziwa inaongoza kuwa na viashiria hafifu vya afya ya mama na mtoto sambamba na ukosefu wa damu salama.
