Pesa sio kitu kwenye mahaba “Kwenye ‘Dume Suruali’ nimejaribu kuwatetea wanamume wenzangu ambao wanakumbana na changamoto za kuombwa ombwa mkwanja 'fedha' na wapenzi wao kuliko hata kuonyeshwa mapenzi, mapenzi ni vitendo na siyo kukomoana.” Read more about Pesa sio kitu kwenye mahaba