Drake atajwa kuwakataa Grammy, kisa hiki hapa

Rapper Drake anaripotiwa kukataa kuingiza Album zake tatu kwenye mchakato wa kuwania tuzo za Grammy, licha ya mafanikio makubwa aliyoyapata kupitia album hizo zilizotikisa streaming platforms mbalimbali za kusikilizia muziki duniani. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS