Hali ya Hospitali za Gaza ni Mbaya - WHO Shirika la Afya Duniani, WHO, limeeleza kuwa mazingira ndani ya hospitali ya Gaza ni ya kutamausha baada ya taasisi hiyo kushambuliwa kwa makombora na Israel. Read more about Hali ya Hospitali za Gaza ni Mbaya - WHO