Barca, PSG njia nyeupe kwenda nusu fainali UEFACL
Michezo ya robo fainali mkondo wa pili ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya kuendelea hii leo Jumanne kwa michezo miwili kupigwa. Kikosi cha Aston Villa kitawakaribisha PSG katika Uwanja wa Villa park majira ya Saa nne usiku huko nchini England.