Payet matatani kwa unyanyasaji wa kingono
Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba.