China yatangaza kupambana na Marekani Serikali ya China imeapa leo Jumanne kwamba itapambana hadi mwisho dhidi ya ushuru wa asilimia 50 ambao Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuiwekea nchi hiyo. Read more about China yatangaza kupambana na Marekani