Muller kuondoka Bayern baada ya miaka 25

Thomas Muller - Nyota wa Bayern Munich

Nyota wa Bayern Munich Thomas Muller ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya michuano ya kombe la dunia la vilabu litakapotamatika

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS