Tanzania yashuka viwango vya soka-FIFA
FIFA imetoa orodha ya viwango vya Dunia kwa timu za taifa upande wa Wanaume hii leo Alhamisi, Aprili 3, ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi moja kutoka nafasi ya 106 viwango vilivyopita mpaka nafasi ya 107 viwango vya sasa.