Rais wa Korea Kusini aondolewa madarakani rasmi Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imeidhinisha uamuzi wa kumuondosha madaraka Rais Yoon Suk Yeol ambaye alisimamishwa kazi na bunge. Read more about Rais wa Korea Kusini aondolewa madarakani rasmi