Kumbukumbu nzuri za Diogo Jota Wahenga waliwahi kusema mbuyu ulianza kama mchicha, ndiyo wala hawakukosea ndivyo ndoto za Diogo José Teixeira da Silva kuuburudisha ulimwengu zilianza kidogo kidogo kama ambavyo mimea huota ardhini. Read more about Kumbukumbu nzuri za Diogo Jota