Urusi yasema sio rahisi kumaliza vita na Ukraine Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema kuwa sio rahisi kufikia makubaliano na Marekani kuhusu vipengele muhimu vya makubaliano ya amani yanayoweza kusitisha vita nchini Ukraine. Read more about Urusi yasema sio rahisi kumaliza vita na Ukraine