Nasty C Afunguka haya kuhusu Msanii Wizkid
Msanii wa Hip Hop kutoka Afrika Kusini Nasty C amesema kuwa Wizkid ndiye msanii aliyefungua milango ya muziki wa Afrika kwenda kimataifa kwa kiwango kikubwa zaidi, hasa baada ya kufanya kazi na rapper maarufu duniani Drake.

