Tundu Lissu ahamishiwa gereza la Ukonga Tundu Lissu Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amehamishiwa katika gereza la Ukonga. Read more about Tundu Lissu ahamishiwa gereza la Ukonga