Sababu za Ronaldo kutohudhuria mazishi ya Jota
Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo hakuwepo kwenye mazishi ya Diogo Jota na ndugu yake Andre Silva yaliyoongozwa na Mchungaji Jose Manuel Macedo katika kanisa katoliki la Igreja Matriz de Dgondomar yaliyofanyika leo Julai 5 huko Gondomar karibu na Porto nchini Ureno.