Wanyama anavyomsaidia Msuva na wengine
Nyota wa klabu ya Tottenham na timu ya taifa ya Kenya Victor Wanyama, ameweka wazi kuwa huwa anafanya jitihada za kuwasaidia wachezaji wa Afrika Mashariki kupata nafasi za kucheza katika ligi kubwa barani Ulaya.