Kocha Kerr yuko tayari kurejea Simba Kocha Mkuu wa mabingwa wa Kenya, Gor Mahia, Dylan Kerr amesema yuko tayari kurejea Simba endapo watazingatia sharti lake la kupunguza viongozi mizigo. Read more about Kocha Kerr yuko tayari kurejea Simba