Jela miaka 15 kwa uhujumu uchumi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 15 jela Joephat Joseph Mushi(mfanyabiashara ya samaki) na Said Omary Sisige (Dereva wa roli) na kuwaachia huru washitakiwa saba katika kesi ya uhujumu uchumi namba 2/2017. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS