Magufuli awapa angalizo viongozi wa dini nchini

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wa dini nchini Tanzania kuacha tabia ya kuwatafuta wasemaji wa dini zao bali wanapaswa wazungumze wao wenyewe kitu wanachotaka kukifikisha kwa waumini wao ili kuweza kunusuru chumvi za watu watakaotumwa kuwazungumzia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS