Homa ya Bonde la Ufa yaua watu watano Watu watano wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa Homa ya Bonde la Ufa nchini Kenya wiki iliyopita ikiwa ni muongo mmoja umepita tangu ugonjwa huo uliposababisha vifo vya watu zaidi ya 200 nchini humo. Read more about Homa ya Bonde la Ufa yaua watu watano