Polisi yajibu kuhusu Muuguzi kuuliwa na Askari
Yakiwa yamepita masaa machache tokea zilipovuma tetesi za mauji ya muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya askari Polisi mkoani humo, Jeshi la Polisi limefunguka na kukanusha taarifa hizo huku wakiwataka waandishi wa habari kuacha kuandika vitu kwa mihemuko bila ya kufuata utaratibu.