Sprite Bball Kings 2018 yazinduliwa rasmi
Katika kukuza na kuendeleza mpira wa Kikapu nchini kampuni ya East Africa Television LTD, kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite leo Jumatatu Juni 11, imezindua msimu wa pili wa mashindano ya Sprite Bball Kings 2018.