Rekodi pekee inayomhusu kocha wa Ufaransa Kuelekea Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kocha wa Ufaransa Didier Deschamps huenda akaingia kweney rekodi ya kuwa kocha wa tatu aliyechukua ubingwa wa dunia akiwa mchezaji na baadae kama kocha. Read more about Rekodi pekee inayomhusu kocha wa Ufaransa