Azam FC yainyaka sahihi ya kocha mpya

Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC umefanikiwa kuinyaka saini ya Kocha mkongwe Juma Mwambusi kwa lengo la kuwafundisha wachezaji kwa kipindi cha miaka miwili kutokea sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS