Marekani yaunganisha nguvu kuipiga Morocco
Kuelekea kwenye mkutano mkuu wa (68th FIFA Congress), ambao utaamua nchi gani itakuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026, taifa la Morocco linatunishiana misuli na mataifa makubwa kutoka Amerika ya Kusini.