Man United yaendeleza kuiburuza Real Madrid
Klabu ya Manchester United imetajwa na Jarida la Forbes kuwa ndio klabu ya soka yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa mwaka wa pili mfululizo ikiwa imejitengezea mapato ya dola bilioni 4.12, zaidi ya Trioni 9 kwa mwaka 2018.