Bodi ya Mikopo yawatumbua vigogo sita
Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewasimamisha kazi watumishi wake sita kwa makosa mbalimbali ya kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.